Msanii wa Bongo Flava Alikiba ametangaza ujio wa EP yake ya kwanza mwaka huu na itakuwa inaitwa “Starter EP” Kupitia Instagram Alikiba ameandika “My first ever Extended Playlist, STARTER The EP, I embrace Bongo Flava. Friday 20th, September.”

Kwa mujibu wa Alikiba EP hiyo ambayo inatarajiwa kutoka ijumaa ya tarehe 20 huku ikiwa na ngoma saba pamoja na kushirikiana na wasanii kama Marioo, Jay Melody, na Nandy. Kusikiliza EP hii hakikisha una tembelea Audio Mpya kila siku.