Entertainment

Hii Hapa Remix ya Kautaka Jaivah, Marioo, Falz, Dj Neptune na Naija Artists

Hii Hapa Remix ya Kautaka Jaivah, Marioo, Falz, Dj Neptune na Naija Artists

Msanii wa Bongo Flava Jaivah leo ametangaza ujio wa Remix ya Kautaka, Kwenye Remix Jaivah ameshirikisha wasanii wakali kutoka nchini Nigeria ikiwa pamoja na Falz, DJ Neptune na wasanii wengine.

Jaivah ni moja kati ya wasanii wa Tanzania wenye sauti nzito ambayo imefanikiwa kuwateka wapenzi wa amapiano na Bongo Flava kwa ujumla. Remix hii ni moja ya ishara ya mafanikio makubwa na kukubalika kwa muziki wa Jaivah ambaye alianza kufanya muziki kwa muda mrefu.

Jaivah ambaye ni kaka wa mtayarishaji wa muziki na msanii Abbah, anazo nyimbo nyingi ambazo zimefanya vizuri ambazo ameshirikiana na wasanii wakubwa kwa sasa. Unaweza kusikiliza ngoma zote za Jaivah kupitia hapa Audio Mpya.

New
Charts
Explore
Genre
Artists