Entertainment

Jux na Diamond Platnumz Waja na “OLOLUFE MI”

Jux na Diamond Platnumz Waja na "OLOLUFE MI"

Msanii wa Bongo Flava Juma Jux ameachia nyimbo yake mpya ya “Ololufe Mi” akimshirikisha Diamond Platnumz. “Ololufe Mi” ni neno la ki-Yoruba kutoka Nigeria, lenye maana ya “My Beloved” au “My Love” in English. “Ololufe” means “beloved”.

Jux kupitia nyimbo yake hiyo aliyo achia siku ya leo ijumaa september 13, imelenga kumsifia na kuonyesha mapenzi kwa mchumba wake Priscilla Ojo ambaye ni hivi karibuni wameonekana pamoja huko nchini Nigeria.

Sikiliza Ololufe Mi Hapa

New
Charts
Explore
Genre
Artists