Kama wewe ni mpenzi wa Muziki wa Bongo Flava basi ni wakati mzuri kwako wa kusikiliza na kufahamu nyimbo bora za Bongo Flava kwa mwezi uliopita yaani August 2024.
Ikiwa sasa ni mwezi September tayari nyimbo nyingi sana zimeshatoka na zinatarajia kutoka ambazo pengine zitakuwa nyimbo bora kwa mwezi huu wa tisa mungu akijali tukimaliza salama. Lakini kwa sasa hizi hapa ni baadhi ya nyimbo za bongo flava zilizofanya vizuri kwa mwezi uliopita wa nane.